Usilolifahamu kuhusu Tembo
- Get link
- X
- Other Apps
Bila shaka unamfahamu tembo aidha kwa kumuona kwa macho au kwa kumuona katika television. yawezekana ukawa hujui kwa undani jinsi tembo alivyo. Naomba nikuibie machache kuhusu mnyama huyu.
- Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi.
- Tembo ana uzito wa tani 7
- Tembo jike hubeba mimba miaka miwili
- Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
- Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
- Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele.
- Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.
- Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
Comments
Post a Comment