HULL CITY YAONDOLEWA RASMI LIGI KUU ENGLAND (EPL)

Image result for hull city VS CR


Hull City yaondolewa kwenye EPL wakiwa na mechi moja ya kucheza kufuatia kipigo kikali walichopewa na Crystal Palace.

Kikosi hicho cha Marco Silva kilipigwa na mshutuko na bao la dakika mbili na sekunde 11 baada ya kuanza kwa mechi.

Mlinzi raia wa Italia Andrea Ranocchia alishindwa kuondoa mpira eneo la hatari hali iliyompta fusra Wilfried Zaha kutikiza wafu wa Hull City.

Bao la pili la Christian Benteke lilitimiza mabao mawili ya Crstal Palace huku mabao mengine mawili yakifungwa na Luka Milivojevic, na Patrick van Aanholt.

Sasa Hull watajiunga na Sunderland pamoja na Middlesbrough kusubiri msimu unaokuja.


Hull City A.F.C.
18th in Premier League
Premier League
Today, 2:00 PM
Selhurst Park
Crystal Palace
4 - 0
FT
Hull City
Scores & schedule
Mar 4 - Premier League
Leicester City

3 - 1
FT
Hull City
Mar 11 - Premier League
Hull City

2 - 1
FT
Swansea City
Mar 18 - Premier League
Everton

4 - 0
FT
Hull City
Apr 1 - Premier League
Hull City

2 - 1
FT
West Ham
Apr 5 - Premier League
Hull City

4 - 2
FT
Middlesbrough
Apr 8 - Premier League
Man. City

3 - 1
FT
Hull City
Apr 15 - Premier League
Stoke City

3 - 1
FT
Hull City
Apr 22 - Premier League
Hull City

2 - 0
FT
Watford
Apr 29 - Premier League
Southampton

0 - 0
FT
Hull City
May 6 - Premier League
Hull City

0 - 2
FT
Sunderland
May 14 - Premier League
Crystal Palace

4 - 0
FT
Hull City
May 21 - Premier League
Hull City

vs
5:00 PM
Tottenham


Comments

Popular posts from this blog

Usilolifahamu kuhusu Tembo

NJIA SAHIHI ZA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA.

Hatua 5 za kutatua tatizo lolote unalokutana nalo